- 3,385 viewsDuration: 24:27Aliacha shule kidato cha 2, akaamua kufuata kile alichokipenda zaidi ubunifu wa ndani ya majengo. Kupitia kazi yake, ameonyesha kuwa mafanikio yanaweza kupatikana kwa kuendeleza vipaji na kufanya kwa bidii kile unachokiamini. Licha ya changamoto zake za kielimu, anasisitiza umuhimu wa elimu na kuwahimiza wazazi kutambua na kuendeleza vipaji vya watoto wao. Anaamini kuwa si kila mtoto atafanya vizuri darasani, lakini kila mmoja ana uwezo wa kipekee unaoweza kumfikisha mbali maishani Mwandishi wa BBC @martha_saranga alifanya mazungumzo naye; Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw