“Nilidhani nitaolewa na tajiri, lakini nikagundua sio rahisi hivyo”

  • | BBC Swahili
    3,133 views
    Kutana na Zarinah Hassan maarufu kama Zari the Boss Lady, mfanyabiashara na mmoja kati ya wanawake wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii ambaye ana asili ya Uganda akijibu maswali yetu matano kuhusu masuala mbali mbali katika maisha yake. #bbcswahili #uganda #zarithebosslady Picha: Zari the bosslady Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw