'Nilifungwa kizazi kwa kuwa na virusi vya Ukimwi'

  • | BBC Swahili
    452 views
    Wanawake wanne wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) nchini Kenya wamelipwa dola 20,000 kila mmoja kama fidia kwa kufungwa kizazi bila ridhaa yao. Wamesimulia BBC yale waliyopitia katika safari yao ya kutafuta haki. #bbcswahili #kenya #HIV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw