'Nilinusurika kuuawa mtaani, marafiki zangu hawakunusurika'

  • | BBC Swahili
    581 views
    Ni takriban mwaka mmoja tangu Sudan ilipotumbukia katika vita vikali huku mamilioni ya watu wakilazimika kuyahama makazi yao. - Huku kukiwa na onyo la maafa makubwa ya kibinadamu, mapigano kati ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya RSF pia yamesababisha kuongezeka kwa idadi ya wanaolengwa kuuawa. - Darfur imeathiriwa sana na serikali ya Uingereza hivi karibuni ilisema ina "viashiria vyote vya utakaso wa kikabila". - Mwandishi wa BBC Mercy Juma amezuru nchi jirani ya Chad kuzungumza na waathiriwa wa jaribio la kuuliwa mitaani na utekaji nyara wa lazima. - - - #bbcswahili #sudan #DARFUR #rsf #jeshilasudan #chad