Skip to main content
Skip to main content

'Nilitabasamu jukwaani kuficha huzuni yangu'

  • | BBC Swahili
    8,730 views
    Duration: 6:09
    “Nilisimama jukwaani nikaimba kwa ujasiri na furaha. Lakini nyuma ya tabasamu hilo, nilikuwa nikificha huzuni kubwa” Mwanamuziki wa Injili @rehema_simfukwe ameiambia BBC kuwa alijitahidi kwa kila namna kuficha maumivu aliyokuwa nayo kupitia kazi yake ya kuimba. Mara nyingi alikwepa maswali ya watu na kujionyesha mwenye furaha ili kutoonesha uzito wa alichokuwa akipambana nacho cha mtoto kuwa na changamoto Mwandishi wa BBC @martha_saranga alifanya mazungumzo na Rehema katika kipindi cha waridi wa BBC Tembelea tovuti ya BBC kusoma zaidi - - #bbcswahili #waridiwabbc #utindiowaubongo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw