Hali ya maisha mjini Katesh wilayani Hanang inaendelea kurejea kawaida huku baadhi ya kaya zikiwa zinaendelea na usafi wakati maeneo mengine shughuli zikiwa tayari zimerejea kama vile shughuli za ibada, shule, na huduma nyingine muhimu za kijamii ikiwemo maji na hata umeme na barabara.
Mvua kubwa zinaendelea kunyesha nchini Tanzania na kwingineko Afrika Mashariki zimeacha uharibifu mkubwa pamoja vifo.
🎥: @eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili #tanzania #katesh
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.