Skip to main content
Skip to main content

Nimepigiwa simu pale Nakuru Kasongo ameanza ukora na ubaguzi juu ya Vitambulisho - Rigathi Gachagua.

  • | K24 Video
    213 views
    Duration: 1:42
    “Nimepigiwa simu pale Nakuru Kasongo ameanza ukora na ubaguzi. Vitambulisho vya watu Wamlima,vya wakamba,vya Wabagusii ukiuliza inakaa miezi tatu. Zile za wakalenji watu wake wakiuliza wiki mbili chief anachukua anawapelekea...”-Rigathi Gachagua.