Nishati Jua mkombozi kwa wanafunzi Songea

  • | BBC Swahili
    474 views
    Mamia ya wanafunzi wanaotoka katika familia maskini katika wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma nchini Tanzania wameanza kupata hamasa ya kujisomea kwa muda wa ziada wakiwa majumbani mwao baada ya usambazaji wa taa zinazotumia nishati ya jua ambao umenufaisha zaidi ya kaya 116. Mbali na kutoa mwanga, pia una kifaa maalumu chenye uwezo wa kufukuza mbu hivyo kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria. Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau alifika wilayani Songea na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #songea