Njaa Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    285 views

    Mamlaka ya kudhibiti ukame NDMA inasema kuwa zaidi ya watu elfu 40 wanahitaji chakula cha msaada katika kaunti ya Pokot Magharibi. Inahofiwa kuwa idadi hiyo huenda ikaongezeka kutokana na kufeli kwa msimu huu wa mvua