- 220 viewsDuration: 1:36Kufuatia ongezeko la vifo kutokana na ajali za barabarani huku takwimu zikionyesha kuwa katika mwaka wa 2025 kufikia sasa zaidi ya vifo 3500 vimeripotowa, halmashauri ya Uchukuzi na Usalama Barabarani(NTSA) imeanzisha huduma ya matibabu ya macho kwa madereva wa magari ya umma ili kuhakikisha afya ya macho hali itakayochangia uangalifu barabarani