Skip to main content
Skip to main content

Nyakang’o: Matumizi mabaya ya fedha za umma yapandisha gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    165 views
    Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakang’o sasa anasema matumizi mabaya ya fedha za umma katika serikali kuu na kaunti yamechangia kupanda kwa gharama ya maisha. Nyakang’o badala yake akiwaomba Wakenya kuwachagua viongozi watakaolinda mali ya umma. Haya yamejiri huku naye Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathongo, akitetea jukumu la ofisi yake katika ukaguzi wa fedha za El Nino na zile za fidia kwa waathiriwa wa maandamano. Willy Lusige na taarifa hiyo.