- 140 viewsShirika la Afya Duniani idara ya saratani linaonya kwamba mtindo wa maisha wa magharibi ikiwemo kula nyama na unywaji pombe vinachangia kuongeza kiwango cha saratani. Mzigo wa saratani ukiwa umeongezeka maradufu katika baadhi ya mifumo ya afya ambayo haina matayarisho mazuri, kuna maana kuongeza mzigo katika hospitali, kuongezeka kupotea kwa nguvu kazi, na kwenye mashine na kwa hakika yote hayo yanakuja na gharama. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Nyama na pombe zachangia ongezeko la saratani
- 3 May 2024 - General Charles Kahariri Muriu has been sworn in as the new Chief of Defence Forces (CDF).
- 3 May 2024 - The government has set up a total of 115 camps to shelter families that have been displaced by floods occasioned by the ongoing heavy rains across the country.
- 3 May 2024 - Interior Cabinet Secretary Kithure Kindiki has issued a directive for the voluntary vacation or mandatory evacuation of all individuals residing in the vicinity of 178 dams and water reservoirs across 33 counties.
- 3 May 2024 - Angry locals on Thursday evening killed a middle-aged woman and torched several houses in a retaliatory attack caused by a land tussle in West Kanyamkago, Uriri Sub-county, Migori County.
- 3 May 2024 - Questioning of Mr Davidson grew hostile, as the defence tried to paint him as a sleazy Hollywood profiteer.
- 3 May 2024 - Helicopters have been used to rescue tourists marooned in the game reserve.
- » Vice KDF chief for 55 days, first woman service commander: How Ruto made twin history with appointments3 May 2024 - Gen Kahariri takes over as Chief of Defence Forces following the death of Gen Francis Ogolla.
- 3 May 2024 - According to CBK, the govt missed out on almost half of its target.
- 3 May 2024 - General Charles Muriu Kahariri was on Friday sworn in as Chief of Defence Forces (CDF) in a ceremony held at State House, Nairobi. The general who replaces the late Francis Ogolla was sworn in alongside Major General John Mugaravai Omenda who was sworn…
- 3 May 2024 - The National Treasury has proposed to introduce a new tax targeting vehicle owners