Skip to main content
Skip to main content

Nyangumi wauaji wawavamia samaki baharini

  • | BBC Swahili
    12,918 views
    Duration: 48s
    Wanasayansi wametoa video ya kushangaza inayoonesha nyangumi wanaojulikana kama orca wakiwagonga samaki wakubwa aina ya sunfish kwa nguvu kubwa hadi miili yao kuvunjika vipande vipande. #bbcswahili #viumbebaharini #nyangumi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw