- 10,188 viewsDuration: 1:03Sokwe aina ya Orangutan mwenye umri wa miaka 10 aitwaye Timtom amevutia watu mtandaoni baada ya video kumuonyesha akicheza na kuoga kama binadamu. Tabia hizo hujifunza kwa kuishi na kuzoea mazingira anayolelewa, si kwa kufundishwa. Frank Mavura anaelezea #bbcswahili #sokwe #orangutan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw