Nyani, Sokwe, Tumbili hujichua?

  • | BBC Swahili
    3,941 views
    Nyani, Sokwe, Tumbili na wengine katika kundi la wanyama hawa wanakaribiana sana na binadamu kuanzia maumbile hadi hisia! Lakini unafahamu kwamba wana tabia za faragha pia zinazofanana kwa karibu sana kama zile za binadamu? @sammyawami anaangazia moja ya tabia hizo... #bbcswahili #wanyama #nyani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw