Shirika la uunganishaji umeme mashinani na kawi endelevu limezindua mradi wa uwekaji umeme kwa takriban nyumba 93,878 katika eneo la Mlima Kenya. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mradi huo katika eneobunge la Githunguri, katibu katika idara ya kawi, Alex Wachira, alisema mbali na kuweka umeme kwenye nyumba za makazi, mradi huo pia utajumuisha uwekaji wa taa za barabarani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive