Nyumba mpya kujengwa kwenye ardhi ya Wa-Nubi, Mtaa wa Kibra

  • | KBC Video
    15 views

    Serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Nairobi zimelitaka jopokazi linaloshughulikia utekelezaji wa mpango wa ujenzi wa nyumba mpya katika ardhi ya jamii ya Wa-Nubi kuziba mianya yote inayoweza kuzuia ujenzi huo katika kipande cha ardhi cha ekari 288.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kibra #darubini