Skip to main content
Skip to main content

Oburu asisitiza kuwa kinara halali wa ODM

  • | Citizen TV
    7,071 views
    Duration: 3:09
    Kinara wa chama cha ODM Oburu Oginga amepuuzilia mbali Kauli ya Gavana wa Siaya James Orengo kwamba Oburu Hatoshi kuwa Kinara wa chama hicho na badala yake kujitangaza kama kinara halisi wa chama cha chungwa. Oburu amesistiza kwamba aliteuliwa na wanachama wa ODM kuwa Kiongozi wao na kwamba hatabanduka na kutishwa na yeyote.