Skip to main content
Skip to main content

Oburu awataka wajaluo kuhifadhi mila na utamaduni wao katika tamasha ya Piny Luo

  • | Citizen TV
    941 views
    Duration: 1:22
    Dkt. Oburu Oginga ametaka jamii ya waluo kuhakikisha kuwa inatangamana na kuhifadhi mila na tamaduni. Oburu ambaye alikuwa akizungumza wakati wa tamasah ya piny luo amesema jamii wa luo inastahili kuhifadhi mila na tamaduni kwa manufaa ya vizazi vijavyo.