Skip to main content
Skip to main content

Oburu Oginga amwambia Katibu Sifuna aache kupotosha wafuasi wa ODM

  • | Citizen TV
    2,123 views
    Mgogoro ndani ya chama cha ODM unazidi kutokota huku kinara wake Dkt. Oburu Oginga sasa akimuonya katibu edwin sifuna akome kuwapotosha wafuasi wa chama hicho. Oburu amemtaka sifuna kuheshimu uamuzi wa chama na kumtaja sifuna kama mnafiki