Skip to main content
Skip to main content

ODM Viongozi wa ODM wamedai Gachagua hana malengo na wakenya

  • | Citizen TV
    3,871 views
    Duration: 1:06
    Baadhi ya viongozi wakuu wa ODM wakiongozwa na mwenyekiti Gladys Wanga na kiongozi wa wachache bunge la kitaifa Junet Mohammed wameendeleza shutuma dhidi ya kinara wa DCP Rigathi Gachagua wakisema anaeneza siasa za kikabila. Wakizungumza kaunti ya Narok, viongozi hawa wa ODM wamemtaja Gachagua kama mtu asiye na malengo na wakenya. Aidha wameendelea kusifia manufaa ya ushirikiano wa ODM na serikali ya Rais William Ruto