- 9,296 viewsDuration: 2:49Kamati kuu ya chama cha ODM imetangaza kuwa chama hicho kitaendeleza ushirikiano wake na serikali ya Rais William Ruto hadi mwaka wa 2027. kamati hiyo pia iliyoandaa mkutano wake wa kwanza tangu kifo cha aliyekuwa kinara wake Raila raila Odinga kimemuidhinisha rasmi Seneta wa Siaya Oburu Odinga kama kinara mpya wa chama hicho