Skip to main content
Skip to main content

ODM yajiandaa kuanzisha mashauriano ya kubuni mrengo rasmi na Kenya Kwanza kabla ya 2027

  • | KBC Video
    564 views
    Duration: 2:38
    Chama cha ODM kinajiandaa kuanzisha mashauriano ya kubuni mrengo rasmi na utawala wa Kenya Kwanza kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Naibu Kinara wa chama hicho Abdulswamad Sharif Nassir amesema mipango inaendelea ya kuandaa mkutano maalum wa kamati kuu ya chama cha ODM ili kupata idhini rasmi ya kushauriana na serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive