- 5,877 viewsDuration: 3:16Viongozi wa ODM sasa wanamlaumu rais mstaafu uhuru kenyatta kwa kuingilia chama cha odm, wakimshutumu mikwaruzani inayoshuhudiwa. Viongozi hao wakiongozwa na kinara Oburu Oginga waliofanya mikutano ya hadhara kaunti za Lamu na Tana river wanadai kuwa kundi linaloongozwa na katibu mkuu edwin sifuna linashirikiana na rais mstaafu kwa nia ya kuhujumu mazungumzo kati ya ODM na UDA