Skip to main content
Skip to main content

ODM yampa Sifuna siku nne kujibu mashtaka

  • | Citizen TV
    35,658 views
    Duration: 2:48
    Chama cha ODM kimempa katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna siku nne kujibu mashtaka ya kupinga kutimuliwa kwake kutoka kwa afisi ya katibu mkuu, na kufika mbele ya kamati ya nidhamu ya chama hicho Ijumaa wiki ijayo. Sifuna anakabiliwa na mashtaka matano, yakiwemo kikiuka uamuzi wa chama na kuunda mrengo kinyume wa Linda Mwananchi. Hapo jana Sifuna aliteuliwa kikosi cha mawakili watatu watakao mwakilisha kwenye kesi hiyo.