Skip to main content
Skip to main content

Ogamba : Wizara ya elimu haijabainisha fedha zinazohitajika kumwelimisha mwanafunzi hadi chuo kikuu

  • | KBC Video
    75 views
    Duration: 1:16
    Waziri wa elimu Julius Ogamba amesema wizara ya elimu bado haijachambua kikamilifu kubaini kiasi cha fedha kinachohitajika kumwelimisha mwanafunzi kutoka gredi ya kwanza hadi chuo kikuu. Ogamba alikuwa akijibu maswali ya wabunge kuhusiana na gharama ya juu ya elimu nchini. Kwenye kikao na wabunge wanaoenndelea na warsha yao mjini Naivasha, Dkt. Ogamba hata hivyo, alisema serikali imepunguza ada za shule ili kudhibiti nyongeza zisizokuwa za kisheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive