Uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ol Kalou kwa mara nyingine umeibua mjadala wa kuhongwa kwa wapiga kura nchini, baada ya serikali kutuhumiwa na wapinzani kwa kuwahonga wakazi wa Ol Kalou kwa miradi ya Lala Salama na mapochopocho mengine.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya