Skip to main content
Skip to main content

Omanyala ahitimisha msimu wake baada ya kupata jeraha kwenye kisigino cha mguu wake wa kushoto

  • | NTV Video
    393 views
    Duration: 45s
    Mshikilizi wa rekodi ya Afrika katika mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala, amehitimisha msimu wake baada ya kupata jeraha kwenye kisigino cha mguu wake wa kushoto, hali iliyomtoa kwenye mbio zake mbili za mwisho. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya