- 1,881 viewsDuration: 3:01Ingawa Omar al-Bayoumi amekuwa akikanusha madai ya kuwa ni jasusi wa Saudi Arabia, uchunguzi wa BBC umeibua ushahidi mpya unaozua mashaka kuhusu uhusiano wake na baadhi ya wahusika wa al-Qaeda pamoja na maafisa wa Saudi. Uchunguzi huo pia unauliza kama FBI ilifanya uchunguzi wa kutosha kuhusu baadhi ya ushahidi uliokuwepo kabla na baada ya mashambulizi ya tarehe 11 Septemba. #bbcswahili #september11 #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw