- 2,539 viewsDuration: 3:10Familia moja huko Kisii inaomba serikali kumsaidia mpendwa wao ambaye amekwama huko Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa baada ya kupatikana na Mogoka ndani mzigo aliopewa katika uwanja wa ndege wa Dubai. Jamaa huyo kwa jina Evans Nyasimi kwa sasa anahangaika ughaibuni kwani hata gharama ya wakili imekuwa kizungumkuti.