Ongezeko la visa vya kujamiiana baina ya maharimu

  • | K24 Video
    24 views

    Wasiwasi unazidi kuibuliwa katika kaunti ya Siaya hasa eneo la Gem kufuatia ongezeko la visa vya kujamiiana baina ya maharimu. Visa hivyo vimeongeza idadi ya mimba za mapema na hata visa vya unyanyasaji wa kimapenzi na kijinsia huku wito ukitolewa kwa jamii kushirikiana ili kukomesha visa hivyo.