Ong'ondo Were kuzikwa tarehe 9 nyumbani kwake Kasipul

  • | Citizen TV
    411 views

    Mazishi Ya Mbunge Were Ong'ondo Were Atazikwa Tarehe 9 Nyumbani Kwake Ibada Ya Kumpa Buriani Mbunge Itafanyika Jumatano Upasuaji Wa Maiti Utafanyika Jumatatu Wiki Ijayo Mbunge Huyo Wa Kasipul Alipigwa Risasi Nairobi