Onyo latolewa na KENHA kwa wanaosafirisha mizigo

  • | Citizen TV
    360 views

    Wasafirishaji wa mizigo kwenye nchi zilizo katika muungano wa Africa Mashariki wameashauriwa kubeba uzani unaofaa ili kuepuka faini kubwa zinazotozwa kwa wale wanaokiuka agizo hilo. Wito huu umetolewa na mamlaka ya kutuza barabara nchini (KENHA).