- 47 viewsDuration: 2:20NYOTA IN MACHAKOS CS Wycliffe Oparanya : Kuna pesa za Hustler Fund, Women and Youth Fund, NYOTA. Najua hivi karibuni tutakuwa na vijana wanabiashara ambao ni millionaires. Serikali imehakikisha mnapata pesa za kufanya biashara. #KBCniYetu