- 1,020 viewsDuration: 2:54Serikali imetangaza kuanza kwa oparesheni ya kiusalama katika bonde la Malaso kaunti ya Samburu kufuatia visa vya utovu wa usalama katika eneo hilo. Mratibu wa usalama bonde la ufa Dakta Abdi Hassan akionya kuwa operesheni hiyo haitawasaza wamiliki wa silaha haramu. Operesheni hii ikifuatia uvamizi wa punde Samburu magharibi uliowaua watu wanne, siku moja baada ya ziara ya waziri wa usalama eneo hilo