"Katika siasa, kuna jambo linaloitwa maslahi, hivyo sioni kama usaliti upo katika siasa. Pale kunapojitokeza migongano ya kisiasa ndani ya chama, wanasiasa hujiondoa na kujitafutia nafasi yao nje ya chama hicho. James Orengo ndiye aliyetoa hotuba iliyosikika zaidi, kwani alizungumzia kwa ujasiri namna alivyokuwa pamoja na Raila hadi kufikia Uhuru, wakati ambapo wengine wengi walikuwa wameingiwa na hofu." - Fwamba NC Fwamba, Mchanganuzi wa Uongozi
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__