Skip to main content
Skip to main content

Paka akamatwa akisafirisha dawa za kulevya

  • | BBC Swahili
    5,104 views
    Duration: 21s
    Maafisa wa magereza nchini Urusi wamemkamata paka aliyekuwa akitumiwa kusafirisha dawa za kulevya akiingia katika gereza la wafungwa huko Nizhny Novgorod Paka huyo alikuwa amevalishwa mikanda mikanda miwili ya kitambaa iliyokuwa imefungwa shingoni kwake na alikamatwa na wafanyakazi kabla hajaingia ndani ya gereza Maafisa walisema mbwa wa polisi aliyefunzwa kutambua dawa za kulevya alithibitisha uwepo wa dawa hizo. Baada ya mikanda hiyo kuondolewa, paka huyo aliachiliwa bila kujeruhiwa. #bbcswahili #dawazakulevya #urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw