Skip to main content
Skip to main content

'Pambaneni mpate katiba mpya'

  • | BBC Swahili
    19,109 views
    Duration: 1:11
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa Watanzania, angewasihi kuendelea kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya yenye maridhiano mapana na uwezo wa kuiongoza nchi kwa miongo kadhaa ijayo. - - #bbcswahili #KatibaMpya #utawalabora Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw