- 13,954 viewsDuration: 40sTazama namna Papa alivyokuwa akiwafuatilia kwa nyuma watu wawili waliokuwa wakiteleza juu ya maji (surfing) huko California. Wakiwa katika mchezo huo wa kwenye maji walikutana na papa mkubwa baharini. Papa huyo akaanza kumfuata mmoja wao kwa namna iliyoonekana kama ni kucheza na si kushambulia. Baadaye papa huyo aliacha kuwafuatilia na akaenda zake. Alikadiria papa huyo kuwa na urefu wa kati ya futi 10-11 (karibu mita 3). Katika chapisho lake la YouTube alisema: “Papa ni wanyama wazuri. Ukimuheshimu, atakuacha salama.” Je ungekuwa wewe ungefanyaje? #bbcswahili #papa #baharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw