Papa Leo XIV, Papa mpya kanisa katoliki

  • | BBC Swahili
    38,461 views
    Kadinali Robert Prevost ametangazwa kuwa Papa mpya. Na kuanzia leo anajulikana kama Papa Leo XIV. - Robert Kardinali Prevost anatokea Chicago nchini Marekani, na hadi kuchaguliwa kwake alikuwa akihudumu kama mkuu wa Dicastery wa kanisa kwa Maaskofu - - #bbcswahili #papa #kanisakatoliki #dini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw