Paul Obali aomba msaada ili kushughulikia matibabu ya figo

  • | KBC Video
    8 views

    GHARAMA YA MATIBABU

    Takribani wakenya milioni-4 wana mamatizo ya figo

    Takwimu za shirika la kushughulikia matibabu ya figo nchini zinaonyesha kuwa mtu mmoja kati ya kumi nchini anaugua ugonjwa wa figo. Kwa Paul Obali takwimu hizi ni hali halisi ya maisha yake. Maisha yake yalibadilika baada ya figo zake zote mbili kushindwa kufanya kazi na kumlazimu kufanyiwa matibabu ya mara kwa mara huku akitafuta pesa za kumpandikiza figo nyingine nje ya nchi. Mwanahabari wetu John Kahiro anasimulia zaidi. Unawezakutuma mchango kwa 0711 545439, Jina ni Joseph Obali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive