Pendekezo la usajili upya wa makanisa wazua kiwewe nchini

  • | Citizen TV
    183 views

    Wakati huo huo viongozi wa kidini katika eneo la Kajiado ya Kati wameshutumu serikali kwa kuidhinisha usajili upya kwa maeneo ya ibada.