"Mambo ya afya ya kiakili katika shule zetu haijazingatiwa hata kidogo. Na sio tu kwa wanafunzi, hata sisi walimu tunapitia hiyo changamoto kwamba hakuna yeyote anaangalia sisi kama walimu. Afya yetu ya kiakili tunapokuwa pale shuleni, it's just assumed kwamba kila mtu tuko sawa, akili zetu zinafanya vizuri na mambo yetu yako sawa. Kwa hivyo tusomeshe kwani huwa hamna chochote kuhusiana na elimu ya akili." — Peter Amunga, Mtaalamu wa Elimu.
#TV47SaaTano #StoriNiYetu
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__