- 14,500 viewsDuration: 23sAfisa mmoja wa polisi alipigiwa makofi na kushangiliwa na mashabiki wa Scotland baada ya kuonyesha ustadi wake wa kucheza mpira nje ya tukio la Kombe la Dunia mjini Boston. Video iliyochapishwa na Idara ya Polisi ya Boston siku ya Jumamosi (13 Juni) inaonyesha mashabiki wakisherehea pamoja na afisa huyo baada ya kuwavutia kwa uwezo wake wa kufanya keepy-uppies (kuuchezea mpira hewani bila kuuangusha chini). #bbcswahili #kombeladunia #polisi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw