Polisi Kilgoris wamemkamata mshukiwa wa mauaji

  • | Citizen TV
    584 views

    Maafisa wa polisi eneo la Kilgoris wamefanikiwa kumkamata mshukiwa wa mauaji ya maafisa wawili wa idara ya magereza.