Skip to main content
Skip to main content

Polisi Kisii wachunguza tukio la kumwagwa taka nje ya duka

  • | Citizen TV
    2,805 views
    Duration: 58s
    Maafisa wa polisi mjini Kisii wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambapo vijana wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kaunti ya kudumisha usafi mjini Kisii walimwaga rundo la taka nje ya duka moja kuu mjini humo.