16 Dec 2025 1:18 pm | Citizen TV 373 views Duration: 1:13 Inpeskta Jenerali wa polisi amesema polisi watakuwa waangalifu zaidi kuzuia ajali za barabarani msimu huu wa krismasi huku akiwataka madereva kuzingatia sheria za trafiki.