30 Sep 2025 10:14 am | Citizen TV 336 views Duration: 1:45 Polisi katika mji wa Chuka, Kaunti ya Tharaka Nithi, wamepata mwili wa mwanamume mwenye umri wa miaka 29 aliyepatikana amefariki ndani ya gari lake binafsi lililokuwa limefungwa na kuegeshwa karibu na jengo la benki ya KCB.