Polisi mjini Diani wamenasa mali ya zaidi ya shilingi milioni moja

  • | Citizen TV
    1,519 views

    Polisi mjini Diani kaunti ya Kwale wamenasa mali ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja inayoshukiwa kuwa ya wizi