- 10,655 viewsDuration: 3:11Maafisa wa polisi kaunti ya Nakuru wako kwenye darubini kufuatia madai kuwa walimkamata na kumhangaisha mwanamke moja na kumdhalilisha mamake kutokana na maneno aliyeandika kwenye mtandao w akijamii. Kwa mujibu wa May Jerono, polisi walimteka nyara na kumsafirisha hadi kitale kisha kumzuia na kumwachilia